...

jyn limited

jipatie bati imara zinazovutia

pendezesha jengo lako kwa mabati ya kisasa na kuvutia, fanya muonekano wa jengo lako kuwa wa kipekee

Bidhaa zetu

bati za migongo mipana

JYN LIMITED

ubora, unafuu na uhaminifu

kampuni yetu imezingatia mambo matatu ambayo ni ubora, unafuu na uhaminifu.

kampuni namba moja ya usambazaji wa bidhaa za ujenzi Tanzania

Wateja wetu wanasemaje?

Ratiba ya kazi

Tunapatikana muda wowote wasiliana nasi kuweka oda!

0656078230

muda wowote tunapatikana.

Kuhusu JYN Limited

JYN Limited ni kampuni ya usambazaji wa bidhaa za ujenzi yenye lengo la kurahisisha upatikanaji wa vifaa bora kwa bei nafuu. Tunauza bidhaa mbalimbali zinazohitajika kwenye miradi ya ujenzi wa nyumba, biashara, na viwanda.

Bidhaa zetu kuu ni:

  • Mabati aina zote

  • Misumari ya ukubwa tofauti

  • Nondo

  • Saruji

  • Vifaa vingine muhimu vya ujenzi

Tunafanya kazi kuhakikisha mteja anapata huduma ya haraka, bidhaa za ubora wa juu, na ushauri wa kitaalamu wa kuchagua vifaa vinavyofaa kwa mradi wake.

mabati mbalimbali yanayouzwa na jyn limited